Wanajumuiya wa Africa Devopment Center wa Minnesota wakimkaribisha Waziri wa Kazi wa Marekani Mhe. Tom Perez alipokutana nao akiwa na mwakilishi Keith Ellison kuzungumuzia maswala ya uhamiaji yanayowakabili wahamiaji wanaofanyakazi nchini Marekani na jinsi gani yakuyatatua. Mazungumuzo hayo yalifanyika siku ya Ijimaa May 16, 2014 mjini Minneapolis, Minnesota
Waziri wa Kazi Mhe.Tom Perez akisamiana na mmoja wa Wanajumuiya wa Africa Devopment Center wa Minnesota alipokutana nao akiwa na mwakilishi Keith Ellison kuzungumuzia maswala ya uhamiaji yanayowakabili wahamiaji wanaofanyakazi nchini Marekani na jinsi gani yakuyatatua. Mazungumuzo hayo yalifanyika siku ya Ijimaa May 16, 2014 mjini Minneapolis, Minnesota
Juu na chini ni Waziri wa Kazi Mhe.Tom Perez akifanya mazungumuzo na Mtanzania Nasib Sereva alipokutana na Wanajumuiya wa Africa Devopment Center akiwa na mwakilishi Keith Ellison kuzungumuzia maswala ya uhamiaji yanayowakabili wahamiaji wanaofanyakazi nchini Marekani na jinsi gani yakuyatatua. Mazungumuzo hayo yalifanyika siku ya Ijimaa May 16, 2014 mjini Minneapolis, Minnesota
Waziri wa kazi wa Marekani Mhe. Tom Perez akifanya mazungumuzo na Wanajumuiya ya Africa Devopment Center akiwa na mwakilishi Keith Ellison kuzungumuzia maswala ya uhamiaji yanayowakabili wahamiaji wanaofanyakazi nchini Marekani na jinsi gani yakuyatatua. Mazungumuzo hayo yalifanyika siku ya Ijimaa May 16, 2014 mjini Minneapolis, Minnesota
Picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment