Thursday, January 1, 2015

ANGALIA PICHA DIAMOND PLATINUMZ ALIVYOFUNIKA KWENYE VIBE PARTY RWANDA PROJECT YAKE YAENDELEA KUFUNIKA

Usiku wa mkesha wa mwaka mpya Diamond Platnumz amefanya yake katika Vibe Party huko jijini Kigali, Rwanda akiambatana na mpenzi wake mpya Zarinah aka thebosslady kutoka Uganda pamoja na timu nzima ya wasafi na mameneja wake. 
ALICHOKIANDIKA Diamond dakika chache zilizopita!
Hii ilikuwa ni Vibe Party tu ya kusalimiana jana... dah! Nawashukuru sana Rwanda kwa Mapenzi yenu kwangu...najiuliza sijui leo kwenye show itakuwaje pale kwenye Uwanja wa Amahoro.. 


( Imagine that was jus, meet and Greet VIBE PARTY last Night... I swear Rwanda, you guys are Amazing i can't even express how i feel for the love that you have been showing me since i got here...i can not waiting for the Main Show at Amahoro Stadium Today!!! )

Hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa wakati mkali huyo wa "number one" akitokea hotel na kuelekea ukumbini. Picha zote ni kutoka katika account ya instagram ya wasafi zikiwa zimepigwa na kifesi

No comments: