Thursday, August 20, 2015

Edward Lowassa akubali kuwa Magufuli ni dume la ng'ombe

-Asema Magufuli ni mchapakazi
-Ana moyo wa kutumikia watu
-Anamudu wizara zote
-Amuita dume la ng'ombe


10 comments:

Anonymous said...

Aliyasema alipokuwa CCM
Lakini yupo ukawa
Yataandikwa mengi kuhusu Lowassa but it's our choice

Anonymous said...

Mbona huweki za Magufuli akimsifia Mbowe na CHADEMA?

Anonymous said...

Ili mradi yupo CCM
Hana jipya hata watangulizi wake walisema haya
Hafai kuwa rais labda labda sana Lowassa akimuonea huruma awe waziri wa mambo ya ndani mannake polisi tutawakoma
Mkurukupuko utakuwa toka kwa waziri hadi mapolisi

Anonymous said...

YES NA KUHUSU WIZI WAKE ULIOSEMWA NA CHADEMA WAKATI YUPO CCM ATAENDELEA NAO TU HATA AKIWA CHADEMA. MWIZI NI MWIZI NA MWAKA HUU WACHAGA NA WAMASAI MTATIA AKILI MAANA IKULU SIO PANGO LA WEZI NA MAJAMBAZI MLIKUA NA NDOTO ZA UKUU WA WILAYA NA MKOA LKN ZITAISHA OKTOBA 25.

Anonymous said...

Lowassa alikuwa CCM its propaganda za CCM lazima ukubali
Lakini Leo yupo ukawa hakuna au imepita bungeni
Halo yote kura ya siri nawapenda Mimi ukawa na sera mpya kwa maendeleo ya Tanzania
Hakuna kuwekana sana kabla ya baject

Anonymous said...

Kuna video za mwalim nyerere akimsifu Lowassa kuwa kiongozi shupavu huko nyuma kabla hajabadili mawazo na wote walikuwa ccm tafadhali tuwekee na hizo katika siasa haya ni ya kawaida sana hali ikibadilika inabidi ubadilike ndio vyama vingi au bado wengine mnatumia mfumo wa chama kimoja wa kushika hatamu huo haupo tena.

Anonymous said...

Sasa huu ndio uduni wa fikra. Lowassa hana tatizo na Magufuli na wala sioni ubaya kwa mwana CCM kumsifia kiongozi wa upinzani ikiwa anaperform. Ninamuomba Muenyenzi Mungu atujalie busara ili tuondokane na tatizo la kuburuzwa. Tukumbuke kwamba tatizo la Lowassa na wananchi kwa ujumla sio Magufuli bali CCM ambayo wana fikra potofu za kuamini kwamba wanadeserve kuongoza na hakuna yeyote anayeweza kuwavusha kwenye dunia mpya isipokuwa wao. Kwa wana CCM naomba mjadili wenyewe kuhusu Loliondo, escrow, maliasili kuibiwa kweupe, gesi, rais wenu kutumia mabilioni ya shilingi kwa safari za nje na report ya mkaguzi mkuu wa serikali CAG. Watanzania tukumbuke kwamba kutetea maovu ni dhambi. Unaweza kuendelea kuwa mwana CCM au UKAWA, but please say something kuhusu haya maovu ya nchi yako.

Anonymous said...

ukawa mbona mapovu yanawatoka???!!! bado hamjaona sppech za lowasa akisifia ccm na serikali. unakumbuka may alisema kikwete ni mchapakazi ameleta maendeleo ya nchini. sasa hivi anasema kinyume chake huyo ndio mgombea mwenye utandio wa akili!!! kwa kizungu tunaita flip flop. anywe matapishi yake mwenyewe, mashabiki wa ukawa aamkeni mbona mnakuwa kama viziwi na vipofu. hii ndio gharama ya kununuliwa na lowasa na kuuza chadema kwa bei ya nyanya mbovu

Anonymous said...

Sisi ugomvi na Magufuli tuna ugomvi na CCM
Mfumo wake Tumechoka nao wimbo ni ule ule ki la uchaguzi hakuna lolote
Ukipita uchaguzi wanatepa na kupitisha kila kit up bungeni kwa maslahi yao
Ona walivyo matajilri viongozi wa CCM
Mangula aliporudi baadaya kupigwa panga la kukosa uenyekiti wa mkoa
Alipoteuliwa kuwa makamu mweyekiti alikuja na vishindo kwamba miezi Sita mafisadi wote atawashugulia Leo mpka atasaafu wapi

Leo majaji watajwa kwenye sakata tume ya zitoo
Hadi leo kimya
Leo wapinzani wakiwa kesi CCM watakavyo ivalia njuga
Meno ya tembo Zurich Nani
Tutataja kwenye kampeni bora muanze wenyewe

kidoo said...

Tena na wewe unae sema ukawa tuamke kweli unamawazo ya uchizi kabisa wewe ndio ufunguke unawezĂ  tuambia kipi kilichofanywa na ccm mpaka sasa aka umeshanufahika na nin NASA una umasikini wakufikiri Mimi nazani ufisadi wore ukiritimba woote hamjauwona tuu mbona hawajawafunga had I Leo walio iba pesa za serekali still mmewabeba tuu lowa lowasa Leo ndio mnamuona nyani bada ya kuama ccm poleni sasa wengine tumeshachoka uwovu Wa ccm magufuli anaweza eleza wapi pesa za miundo mbinu ya barabara wapi zilipo kwenda nakujenga Barbara za hovyo has a mji Wa kahama Sikh raising akija Barbara inafunikwa vitundu anaweza sema Barbara inayokwenda mwanza mashimo ya nin na Barbara haina at a miaka minne mnasema nin bhana kikwete anaweza eleza umna Wa watanzania kodi imepandaje kwanin nchi inauchumi.mkubwa lakini watu wake masikini had I wakunya kama wewe fikiria before tolk my freind