Wednesday, August 19, 2015

Fimbo ya Lowassa: Wajumbe 32 kumkabili

4 comments:

Anonymous said...

Tutwazomea kila watakakopita. Kubalini yaishe mwaka huu siyo ccm tena. Mmeshaiba vya kutosha. Rudisheni hela ya Escrow ndio mtasimama mbele ya Watanzania wenye akili timamu kinyume na hapo mtakuta tu vichaa na wezi wenzenu.

Anonymous said...

Hawa wote ni walewale tuliochoka ngonjera zao tangu awali na ndio wanaoimaliza chama chetu. Hakuna jipya la kuibadili dira ya WaTanzania. Ni vyema kabisa hiyo hela ya ESCROW waliyogawana inawapa nguvu kutembea mikoa. MTanzania wa
leo atanunuaje Sukari kilo moja Sh. 2,500 wakati tuna viwanda vitatu vikubwa vya kuzalisha sukari badala yake wamepewa matajiri kuagiza sukari hii ni aibu kwa taifa. Na tusisikie mmoja wenu akijinadi kwa mradi wa mabasi ya kasi Dar! Kwani ni haki ya waTanzania walala hoi na walipa kodi miaka 50! Tulitakiwa tuwe na hayo mabasi miaka mingi tu kwani UDA ilienda wapi. Tusitanie bado kuna mengi ya kuwafanyia waTanzania rushwa imetawalaa!! TRA, ESCROW, Maliasili kuua tembo, Madawa ya kulevya. Yaani nchi inanukahh!!! Mwendo ubadilike sura mpya zinahitajika na ni maendeleo WaTanzania tunaweza..

Anonymous said...

Tungependa kuomba serikali ya CCM lipitia wizara ya mheshimiwa Lazaro Nyalandu atueleze hatima ya meno ya tembo yaliyokamatwa nje ya nchi uwanja wa ndege na yalipitia uwanja wetu wa JK Dar. Nini hatima na yalikuwa ya nani na wahusika wamechukuliwa hatua gani. Kabla ya kutembeza kampeni hizo.

Anonymous said...

Do you really know what you're talking about? ENL has been in public service and on a looting mission since late 1970s. How is he a new face?