Thursday, August 20, 2015

MGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO

 
 Mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi [CCM] Jimbo la Dodoma Mjini  Anthon Mavunde akipokea Fomu za kugombea nafasi hiyo Toka kwa Afsa Uchaguzi Manispaa ya Dodoma Elizabert Gumbo jana mjini Humo.Picha na John Banda
 
 Mavunde akionyesha Fomu hizo baada ya kuzichukua katika ofisi za manispaa jana.
 Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM Anthon Mavunde akiwapungia watu Mikono juu ya Gari wakati alipokuwa akienda kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo.
 Baadhi ya wafuasi wa Chadema wakionyesha ishara ya vidole viwili ambayo ni alama ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini wakati msafara wa Mgombea Ubunge Kupitia CCM Anthon Mavunde ulipokuwa ukipita kwenda kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo katika barabara kuu eneo la Nyerere Square, hivi karibuni kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma alikitaja kitendo hicho cha kuingiza itikadi ya chama kingine pasipohusika kama viashiria vya uvunjifu wa amani.

No comments: