Advertisements

Wednesday, April 12, 2017

KISOMO CHA KHITMA DMV KIMEAHIRISHWA

Familia ya Baby Bachu Mgaza na Tito Mazali inawatangazia kuahirisha kisomo cha kumuombea mpendwa wao Shellu Aliefariki na kuzikwa nyumbani Tanzania.
Kisomo kilikua kifanyike siku ya Jumamosi 04/15/2017 sasa hakitafanyika tena mpaka hapo itakapotangazwa tena, tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaotokea.

No comments: