Advertisements

Saturday, September 21, 2019

KUMSINDIKIZA NYOTA WA TAIFA LETU KATIKA MAKAZI YAKE YA MILELE MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI.AMEEN.

MCHEZAJI WA ZAMANI WA KIMATAIFA WA CLUB YA MALINDI NA TANZANIA ABDULLAH HUSSEIN(ABDUL MALAIKA) ALIFARIKI DUNIA GHAFLA SIKU YA JUMAAPILI SEPTEMBER 15.NA KUZIKWA ALHAMISI KATIKA MAKABURI YA MARLBORO MUSLIM MEMORIAL MORGANVILLE, NJ.
MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI.AMEEN. PICHA NA VIJIMAMBO BLOG 
Mwili wa marehem ukiswaliwa Masjid Fallahee New Jersey kabla ya kusindikizwa kwenye nyumba ya milele huko New jersey.
Mwili ukitolewa msikitini baada ya kuswala
Ndugu na kamana wakitoka msikitini baada ya swala tayari kwa safari ya kusindikiza miili wa mpedwa wao kenye nyumba ya milele. Kwapicha zaidi nenda chini.





No comments: