Sunday, January 21, 2024

MWENEZI MAKONDA ASIMAMISHA MSAFARA NA KUSHUKA KUSALIMIANA NA WAZEE, WANAWAKE NA VIJANA WAJASIRIMALI WA PONGWE



Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amesimamisha msafara wake na kushuka kusalimiana na Wazee, Wanawake na Vijana ambao ni wajasiriamali wadogo katika eneo la Pongwe.
Mara baad ya kusalimiana nao, alijumuika nao Wazee kunywa kahawa kwa pamoja na kuzungumza nao mambo mbalimbali ikiwemo pamoja na kumpa salamu za upendo wao kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Makonda ameshuka eneo hilo akiwa njian kutoke Wilayani Tanga Mjini na kufika Muhenza ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake ya mikoa 20 back to back leo tarehe 21 Januari, 2024.






No comments: