Sunday, January 21, 2024

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA BAADHI YA MAASKOFU WA KKKT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kabla ya kuanza kwa Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa baada ya kutambulishwa na Mkuu wa Kanisa hilo Mstaafu Askofu Dkt. Fredrick Shoo katika Kanisa la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa wakati wa Ibada ya kuingizwa kazini kwa Mkuu huyo wa Kanisa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.

No comments: