Monday, January 22, 2024

RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MKUTANO WA CDF NA MAKAMANDA WA JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Majeshi (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda kabla ya kufungua mkutano wa Makamanda kwa mwaka 2023 uliofanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Maafisa Majenerali mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda wakati wa mkutano wa CDF na Makamanda wa mwaka 2023 uliofanyika Lugalo Dar es Salaam 22 Januari, 2024

Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Maafisa Majenerali mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiwa kwenye Mkutano wa CDF na Makamanda uliofanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Lugalo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufungua Mkutano wa CDF na Makamanda wa mwaka 2023 tarehe 22 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maafisa Wanawake wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania mara baada ya kufungua Mkutano wa CDF na Makamanda kwa mwaka 2023 uliofanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax mara baada ya kuwasili Lugalo kwa ajili ya kufungua mkutano wa CDF na Makamanda wa mwaka 2023, 22 Januari, 2024.

Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Maafisa Majenerali mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa mkutano wa CDF na Makamanda uliofanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Maafisa Wanawake wa JWTZ mara baada ya kufungua Mkutano wa CDF na Makamanda kwa mwaka 2023 uliofanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024

No comments: