Thursday, February 1, 2024

RAIS DK.MWINYI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Mudrika Ramadhan Soraga kuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale,kabla uteuzi alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Kazi,Uchumi na Uwekezaji,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 01/02/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Ali Suleiman Ameir (Mrembo) kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu,kabla ya Uteuzi alikuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 01/02/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Shaabani Ali Othman kuwa Waziri wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi .kabla ya uteuzi alikuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 01/02/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango.kabla ya uteuzi alikuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi,Maendeleo ya Makaazi,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 01/02/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Salha Mohamed Mwinjuma kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi,Maendeleo ya Makaazi .kabla ya uteuzi alikuwa mwakilishi wa Viti maalum Kundi la Vijana Kusini,Unguja,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 01/02/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Zawadi Amour Nassor kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini .kabla ya uteuzi alikuwa mwakilishi wa Jimbo la Konde Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 01/02/2024.
Baadhi ya Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama waliwa katika hafla ya kiapo kwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kushika nyazifa mbali mbali, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 01/02/2024.
Viongozi mbali mbali wa Serrikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Mawaziri wapya walioapishwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia na kutoa maagizo kwa wateule hao leo baada ya hafla kiapo iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 01/02/2024.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika hafla ya kiapo kwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kushika nyazifa mbali mbali, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 01/02/2024.

No comments: