Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndugu Nape Moses Nnauye, ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), wakiwa wamezama kwenye mazungumzo mazito kuhusu masuala mbalimbali, baada ya Waziri huyo kumtembelea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Nchimbi ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, Alhamis, Februari 1, 2024.
No comments:
Post a Comment