Advertisements

Wednesday, May 22, 2024

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA KONGAMANO LA JUMIKITA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye viwanja vya maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) kuhusu Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Uhuru wa Vyombo vya Habari. Kongamano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Maktaba ya UDSM mkoani Da es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mmiliki wa AYO TV na millardayo.com, Bw. Millard Ayo (kulia) alipowasili kwenye viwanja vya maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) kuhusu Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Uhuru wa Vyombo vya Habari . Kongamano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Maktaba ya UDSM mkoani Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Msimamizi wa matangazo wa Global TV, Sifael Paul alipotembelea mabanda ya maonesho kabla na kuzungumza katika Kongamano la Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) kuhusu Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na uhuru wa Vyombo vya Habari . Kongamano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) mkoani Dar es salaam.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza wakati alipomkaribisha mgeni rasmi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuzungumza katika Kongamano la Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) kuhusu Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na uhuru wa Vyombo vya Habari. Kongamano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam mkoani Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) kuhusu Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Uhuru wa Vyombo vya Habari. Kongamano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) mkoani Da es salaam
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) kuhusu Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Uhuru wa Vyombo vya Habari wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika Kongamano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam mkoani Dar es salaam, Mei 21, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: