Sunday, June 2, 2024

RAIS SAMIA AKUTANA NA MWENYEJI WAKE RAIS WA JAMHURI YA KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol kabla ya kushuhudia utiaji saini Mikataba mbalimbali baina ya nchi mbili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Seoul
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Shamrashamra za Mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Nchi ya Jamhuri ya Korea Jijini Seoul tarehe 02 Juni, 2024.

No comments: