Saturday, June 1, 2024

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MRADI WA AIRTEL SMARTWASOMI



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Airtel SmartWasomi kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Papotlal jijini Tanga, Mei 31, 2024. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda na kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofunga Maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal jijini Tanga,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa mkoa kwenye uwanja wa ndege wa Tanga baada ya kufunga Maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Popatlal jijini Tanga, Mei 31, 2024. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: