MSIBA HOUSTON
Harambee ya kufanikisha usafirishaji wa mwili wa
mpendwa wetu ndugu Gerald Bashasha itafanyika
kesho jumapili march 28 saa tisa(3pm) kwenye
ukumbi wa old Safari
Address: ni 9651 Bissonnet Suit 105
Houston,Tx 77036
KARIBUNI NA ASANTE KWA USHIRIKIANO WENU
1 comment:
Post a Comment