ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 20, 2010

MT.ZION yaibanjua Bongo DC 3-1

Bongo DC
MT.ZION

7 comments:

Anonymous said...

Jamani bongo lini? naona papers bado zinawasumbua sana, nakumbuka sura nyinyi nilikuwa naziona pale Safari, mimi baada ya kupata Masters yangu nimerudi nyumbani hali swali huku...najua wengi wenu bado mnapiga kazi kwenye nursing homes...kuosha wazee inataka moyo.

Anonymous said...

tutakuwa bongo mkiacha kutuwekea sumu,tunapokua tukuja kuangalia mali zetu tulizoziacha,kifupi sijasahau kitu huko

Anonymous said...

kwani wewe hapo juu tunapokuja nyumbani kusalimia ndugu lazima tukutafute wewe ili ujue kuwa tulikuwepo...acha ushamba hata kama watu wanaosha wazee kazi kazi tu wewe na Masters yako je unafanya kazi gani ya maana

Anonymous said...

WE MSHAMBA SANA MASTERS UMEONA BIG DILL WATU WANA PHD NA AWASEMI KITU NA KAZI YENYEWE UNAYO BONGO BORA SISI WAOSHA MAVI TUMEJENGA MAJUMBA NA WEWE UNAPANGA KWA HAO WAOSHA WAZEE KAKA AUA DADA UNAONGEA PUMBA TUU.WATU WANGAPI WANA PAPERS NA WAPO HAPA HAPA WEWE UNATAMBA NA MASTERS MAISHA MBELE BWANA WEWE TULIA NA CO ULIYONAYO USHUKURU ACHA MDOMO KAMA WEWE NI MWANAUME BASI NDOYO WALEWALE WAMBEYA WANAUME KAMA WANAWAKE KAMA NI MWANAMKE UKIULIZIA UTAAMBIWA AAH YULE CHIZI MAANA NANJA ZOTE UMEISHA PITA

Anonymous said...

Nadhani jamaa wa juu amesema ukweli, mimi nipo hapa Maryland University, najua wabongo wengi wasio na papers wanaishi kwa green cards feki.

Anonymous said...

sasa ili mradi maisha yanaenda na hiyo feki huyo tumsamehe tu siku zake za kufa karibu,basi hata kazi yenyewe aliyonayo ni kuvaa makoti juu kali,kaishiwa huyo wacha sie tujivinjali baada ya schedule tunapeleka misaada kwetu yeye ana master ile basi

Anonymous said...

nini bwana kila mtu hapa ana green card hata uncle.....anayo,aunt......anayo dada.......anayoitakuwa paper bwana huyo bahiri tu ndiyo maana aliondoka hapa chuo chenye alichosoma feki tu