![]() |
| Mkurugenzi Mkuu wa TRL,Hundilal Chaudhary, akimpa dereva Muya, hati ya ruksa ya kuanza safari kutoka kituo kikuu cha treni Dar es Salaam kwenda Kigoma jana. Safari za kwenda Bara zilisitishwa mwaka jana baada ya mafuriko kuharibu reli wilayani Kilosa. (Picha na Yusuf Badi) |

No comments:
Post a Comment