Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk.Wilbroad Slaa (kushoto) akisalimiana na Naibu kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Zitto Kabwe leo.
Dk. Wilbroad Slaa (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Vunjo-TLP, Lyatonga Mrema, leo Bungeni mjini Dodoma.

Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa HAI- Chadema, Freeman Mbowe (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid wakati wakipongezana baada ya kutangazwa baraza la mawaziri kivuli Bungeni Mjini Dodoma Leo.
Picha na Mwanakombo Juma - MAELEZO
No comments:
Post a Comment