ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 14, 2011

Image
Magari ya mizigo yakiwa yamekwama kwenye barabara ya Kilosa-Mkata mkoani Morogoro baada ya barabara hiyo kuharibiwa na mifugo inayopitishwa, ikiwa ni pamoja na mvua za masika zinazoendelea kunyesha kama ilivyokutwa Alhamisi. (Picha na John Nditi).

No comments: