VIJIMAMBO ilipotoa Tangazo la nafasi za kazi kwenye Ubalozi wetu uliopo hapa Washington,DC,kuna Mdau ambae hautaja jina lake(Anonymous) alitoa maoni yafuatayo "aaaahhh yale yale ccm mpaka kwenye ubalozi ,ubalozi ni nchi vipande vya kufanya kazi kwa marekani vinausiana nini na ubalozi ,mtu unahajiriwa kwa kufwata hajira za Tanzania na sio za marekani mbona hamjaandika mshahara kama kweli mko wazi,wewe ********acha mambo ya ********* na uccm"
***************************************************************************************************
Kwanza kabisa Mdau Anonymous napenda kukujulisha kwamba Ubalozi wetu hauwakilishi CCM wala chama chochote,bali unawakilisha Nchi yetu na wananchi wake waliopo nje ya Tanzania,wewe kama unachuki na CCM hapa si mahala pake.
Ubalozi unapokutaka uwe na kibande cha kazi,wanafuata taratibu zilizowekwa na Nchi hii,kumbuka hapa si Tanzania,hii ni Marekani na Marekani wanataratibu zao za kuajiri,kuna kampuni kibao za Kibongo Nchi hii lakini hawakupi kazi kama huna vipande hii ni taratibu za uwajiri zilizowekwa na Nchi hii.
Kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa na Ubalozi kama utakua na sifa zilizotajwa kwenye Tanzagazo,Ubalozi utapeleka jina lako Wizara ya mambo ya nje na wao watapeleka Jina lako Homeland Security na hawa wajomba watalipitia jina lako na kurudisha majibu Wizarani nao kurudisha majibu Ubalozini kwamba unafaa au hufai kuajiriwa.
Kwa hiyo Mdau Anonymous hii ndio sababu iliyofanya Ubalozi wetu ukutahazalishe mapema kuhusu kipande,usije ukajikuta Minazi mirefu pasipo kutarajia.
2 comments:
Kuna wafanyakazi hapo ubalozini hawana vipande.
Wao ilikuwaje mbona Homeland Security wamewapitisha?
Sasa wiki hii sisi tunaopenda utaratibu na haki, tutafuatilia wenyewe tukiwa na majina yao, Homeland Security pia na Department of State kama hao wafanyakazi wanne hapo wanavipande.
Hata mimi naunga mkono!kwa mtu hapo juu,kuna wafanyakazi wanaofanya kazi hapo ubalozini ni illegal immigrant na majina tunayo kabisa na wala sio siri!.Eti kwasababu mjomba au baba mdogo ana cheo hapo basi anakusukumizia!na kuna watu hapa ni maraia na hamuwapi kazi wakija kuomba.Na huyo balozi ana uwezo wa kuwafukuza kazi since hawajaajiriwa bongo na wizara!wanakaa hapa kujishaua"nafanya kazi ubalozin"ubalozini my ASS!hata mshahara wenyewe wa kawaida tu kwa wale wanaojidai kitaa!hata sisi tunaosafisha mavi tunawashinda.Sasa yule muhindi wa nini?mtoeni wekeni mbongo!kisa nini kiingereza!acheni hizo nyie.Kwanza nyie mnaofanya kazi za kutumwatumwa hapo ubalozini mngekua mnajua hata msingefanya,ni jina tu ubalozini !lakini hamna lolote.Wewe msemaji wa ubalozini sijui unatakiwa kukaa kimya kabisa,mnaajiri watu wasio na makaratasi hapo mnabisha???????????.Tunawajua wote hapo.
Post a Comment