Wadau wa Ontario wakijumuika pamoja na mkuu wa mkoa wa Washington DC Sheh Saleh(kulia) katika Futari ya pamoja iliyoandaliwa mahsusi kwenye mwezi huu wa mfungo wa mwezi wa Ramadhan
Mkuu wa Mkoa wa Washington Sheh Saleh akipata Ukodak Moment na wadau wa Ontario
Wadau wakijumuika pamoja na Maustadhi wa Ontario Canada kwenye Futari ya pamoja
Wadau wakifuturu kwenye futari ya pamoja
Mkuu wa mkoa DC,Sheh Saleh(kulia) akiwa na wadau na Maustadhi kwenye mjumuiko huo wa futari ya pamoja,mjini humo.
wadau walijumuika na familia zao kama wanavyoonekana hapa
Juu na chini ni wadau wakiwa na familia zao kwenye futari ya pamoja,Ontario Canada
Familia na wadau wanaoishi Ontario Canada kwenye futari ya pamoja.
Picha kwa hisani ya Saleh Mohammed
Kwa picha zaidi Bofya Read More















No comments:
Post a Comment