ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 7, 2011

Edima and Frank Ndumbalo 7th Anniversary

 Leo 8/7/2011 miaka saba ya ndoa ya Edima na Frank Ndumbalo

2 comments:

Anonymous said...

Hongereni jamani. Mungu awabariki ili mdumu ktk ndoa yenu na muwe mfano kwa walio wengi.

Anonymous said...

Lovely lovely!! mbarikiwe saana, mmeshaanza na kufanana, maana wanandoa huwa wanafanana, nimewapenda kwelii, muendelee kupendana, mmesikia wapendwa wangu, amani iwe kwenu na nyumba yenu inshaalah mungu atailinda siku zote Msherekee aniversary yenu kila mwaka, lovely couple