ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 7, 2011

MAENDELEO YA MSIBA,DC.
Macrina Samaka enzi ya uhai wake

Watanzania wenzangu,DMV,leo ni wiki na siku 2 tangu marehemu alipoaga Dunia Jumamosi July 30,2011

Pesa zilizopatikana kwenye Harambee na michango ni $3,115/= bado tunasafari ndefu sana,tunashukuru wale wote waliofika na michango yao ya hali na mali 

Gharama zilizobakia sasa ni $ 5,885/= bado tunaomba msaada wako,muonee huruma Macrina,anahitaji msaada wako ili akapumzike kwenye nyumba yake ya milele,najua tunaweza kama Watanzania wenye upendo na Mtanzania mwenzetu,mshikamano na moyo wa huruma,chohote ulichokua nacho kitasaidia.

Kumbuka kifo hakina mmoja leo Macrina,kesho ni mimi na wewe.

Address ya msiba ni
4303 FRANKFORT DR,
ROCKVILLE,MD,20853

TUNAOMBA WENYEVITI WA JUMUIA ZA WATANZANIA ZILIOPO NJE YA DMV,WASAIDIE KUTOA TAARIFA HII KWA WANAJUMUIA KWENYE STATE ZAO,MICHANGO INAWEZA KUPITIA Routing #055003201-A/C #1010323780193-WACHOVIA BANK-Arthur Gao/Memorial Funds a/c for Macrina Samaka.

 kwa mawasiliano na maelekezo

Afisa Ubalozi,Abass Misana-202 378 8066
Rasheed Mkakile-240 938 3177
Arthur Gao-240 408 1422
Magrette Wahida-301 915 5821
Dj Luke Joe-301 661 6696
Malecela(New York)-914 473 1033
Boston(MA)
Juliana-413 330 3891
Abela- 781 913 2107
Suzie-617 306 1645
Houston,TX
Georges Assenga-713 894 9403
Wichita,KS
Erick Tagalile
316 993 0843
Bruce Bond-301 254 2806

MWENYEZI MUNGU AMETOA,MWENYEZI MUNGU AMETWA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE,
AMIN

No comments: