ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 7, 2011

MDOGO WA MAREHEMU AWASILI WASHINGTON,DC

Kati ni Juliet aliefika Jumapili Aug 7,2011 kushughulia maswala ya ya marehemu dada yake mpendwa Macrina Samaka,aliyefariki Jumamosi July 30,2011,Washington Hospital Center.
kutoka kushoto ni Mama Mkumbukwa,mama Mkama na Mrs Oscar Gao
Kutoka shoto ni Dada Vicky,Clara na Dada May
Dada Rose akiwa na Flora Mkande
Pastor John Mbatta akifariji familia ya marehemu kwa kutoa neno la Bwana.
Kutoka ulia ni Ernest,Samwel,Clara,Jacob Merere,mama Mkama,Mrs Oscar Gao na kwa nyuma ambae aonekani sura ni Pastor Ferdinand Shedeko.

1 comment:

Anonymous said...

poleni sn wafiwa