ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 17, 2011

MUONEKANO MPYA WA JENNIFER HUDSON

Jennifer Hudson - The 2nd Annual amfAR Inspiration Gala
Jennifer Hudson amefanyakazi kweli,amepunguza lb 80 lakini huu muonekano wake mpya unafikiri nini abaki hivyo hivyo au aongezeke kidogo? wewe kua jaji 

7 comments:

Anonymous said...

Big head and she looks old, i am sure this is not just dieting, she must have done gastric bypass...
this is too much...

Tanzania Dr Phill

Anonymous said...

Esu na Maria, Ote mbee!!!!!!!!

Anonymous said...

Kwa ufupi anatisha....aongezeke kidogo wembamba haumpendezi.

Anonymous said...

Mbona hapo DC kuna wadada walioharibika kisa kukonda? Wanafanana hivi hivi Mimi nawajuwa wadada wa3 siwezi taja majina mana hauto approve comment yangu.

Anonymous said...

amekua mu ugly instead, mashavu kama mzee hamna haja ya kujikondesha kama wewe umnene kaa hivyo hivyo

Anonymous said...

I Like da body but reception imezeeka, no she needs more meat on her neck and face.. she looks older than her age...

Anonymous said...

mbona uso kau-ignore ukaporopmoka? i dont like the new her