ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 9, 2011

MIAKA 50 YA UHURU TANZANIA BARA LEO PARTY KABAMBE WASHINGTON DC @ MOOD LOUNGE

Leo Ni Leo Miaka 50 ya Uhuru si Mchezo,Watanzania wote Karibuni Mood Lounge,1318 9th St,Washington,Dc,Milango inafunguliwa saa tatu usiku 9pm...till 3 am,Muziki na DJ LUKE,DJ ACE,DJ JOE,DJ SMOOTH!

KESHO JUMAMOSI WASHINGTON DC MIAKA 50 YA UHURU TANZANIA & KENYA PARTY PAMOJA

Wageni Rasmi Kutoka Ubalozi wa Tanzania na Kenya Wamethibitisha Kufika Katika sherehe za Uhuru wa Tanzania na Kenya Zitakazo fanyika Kesho pale RIO Lounge,13501 Baltimore avenue,Milango itakuwa wazi kuanzia 8pm,Wageni rasmi kufika 10pm,Party kuendelea hadi 3am,Watanzania tunaombwa tujitokeze kwa wingi Kuendeleza ushirikiano wetu mzuri wa Africa Mashariki.Mungu Ibariki Tanzania!

No comments: