Mwimbaji Kelly Clarkson akiimba wimbo wa Taifa kbla ya mpambano wa SUPER ball VLVI
Osi Umenyiora #72, Steve Weatherford #5 David Carr #8 and Derrick Martin #22 wa New York Giants wakishangilia mbele ya Tom Brady #12 of wa New England Patriots baada ya kuwafunga New England Patriots 21-17 kwenye mpambano mkali wa Super Bowl XLVI uliochezewa uwanja wa Lucas Oil February 5, 2012 mjini Indianapolis, Indiana.
Kocha Tom Coughilin wa New York Giant akipiga picha na kombe baada ya Giant kuwafunga New England Patriots 21-17 kwenye mpambano wa Super Ball VLVI iliyochezewa uwanja wa Lucas Oil February 5, 2012 mjini Indianapolis, Indiana.
No comments:
Post a Comment