ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 9, 2012

THE MAGICAL NIGHT WITH THE MAGNIFICENT MIRIAM ODEMBA.

Juu na chini ni marafiki wa siku nyingi walioshibana miaka nenda miaka rudi Linda na Miriam Odenda walipokutana Jiji la Atlanta, Georgia Nchini Marekani Pale Linda alipomualika Miriam kwa chakula cha usiku nyumbani kwake.
Keki ya siku ya kuzaliwa aliyotengenezewa Miriam Odemba na Linda iliyobeba twasila ya picha yao Enzi hizoooo
Ndugu, jamaa na marafiki walioalikwa kwenye chakula cha jioni alichatayarishiwa mgeni, ndugu, jamaa na rafiki wa siku nyingi Miriam Odemba nyumbani kwa Linda.
Linda wa pili toka kulia akiwa na wageni wake kwenye picha ya pamoja.
Linda (kushoto) akilengwa na machozi mara alipomuaona mgeni wake na rafiki mkubwa wa siku nyingi, Miriam Odemba (kati)
Miriam Odemba akisalimiana na Leyla (mtoto wa Linda)
Ilikuwa furaha na kuhabarishana habari za tangu enzi zileee
Miariam na Linda wakigonga glasi kama ishara ya upendo na mshikamano wa urafiki wao.
Linda na Miriam wakiendelea kuhabarishana huku mtoto Leyla akiwasikiliza.
Miriam Odemba akipata picha ya pamoja na Linda (kulia) akiwa pamoja na Leyla na mziwanda.
Miriam Odemba akijipakulia maakuli
Juu na chini ni wageni waalikwa wakipata menyu.
Miriam Odemba (kati) akiwa amembeba mziwanda akipiga picha ya pamoja na Mr Mali (baba mwenye nyumba wa Linda) pamoja na Linda.
Wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja.

No comments: