Advertisements

Friday, June 22, 2012

UJUMBE WA HARAMBEE YA DOMITIAN KUTOKA KWA MAMA SALMA MOSHI

Mama Salma Moshi akiwa uwanja wa UHURU (uwanja wa Taifa zamani) akicheza na Nyoka wakati wa mechi ya Mabalozi na Wabunge Enzi hizo

1 comment:

Anonymous said...

Pamoja na kwamba Bwana Domitian alikuwa mahtuti hakuweza kujiandikisha mwenyewe kwenye mpango wa NSSF wa WESTADI lakini NSSF imetafakari na imeamua kusafirisha mwili wa marehemu na kutoa tkt ya msindikizaji kwa kuwa Domi alikuwa ameshalipiwa premium ya WESTADI ya USD 300

C.J magori
Director of operations, NSSF