ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 5, 2012

MPWA HATIMAE KAONEKANA

Kunamdau alilalama kutomuaona Mpwa kwenye Futari ya CCM DMV Ukodak huo hapo Mpwa (wapili toka kushoto) akifuarahia jambo akiwa na Mhando (kushoto) pamoja na Dedy Luba (watatu toka kushoto) (Picha kwa hisani ya Mwenyekiti wa CCM DMV)
Missy T katika pozi


7 comments:

Anonymous said...

salamaleko - mpwa rangi za shati lako zinaleta utata....no offense but zimekaa kichadema chadema

Anonymous said...

Mpwa iyo T shirt yako inatia Utata kama mdau wa kwanza alivyosema...tunaomba kujua ulienda kufuturu kama mwanachama wa CCM DMV au ulienda kama Observer ?
Nafkiri ni si vibaya wadau tukijua kama wewe ni Gamba au Gwandwa
Mdau.

Anonymous said...

Hii Picha ya Missy Temeke lazima
Kikwete ampe AWARD.

DarSlam said...

Sahani bana,tehee..

Anonymous said...

Mpwa msalimie missy mwambie tunamkaribisha na sis Texas aje kutupendeshea shughuli na sis maana si mchezo mpe hongera zake.

Anonymous said...

sahani ilikosa ustaarabu umeona eeh

Anonymous said...

Hapana hiyo sahani inaonyesha ishara ya wanaCCM walivyokuwa wengi nchini MAREKANI maana usito ulivunja sahani bila kuogopa Wala kujali. CCM OYEEEE ndio baba wa TAIFA!