1. Ni uzembe wa serikali ya chama cha mapinduzi?
2. Ni uzembe wa uongozi wa chuo kikuu cha dar es salaam?
3. Ni uzembe wa wanafunzi wenyewe wanaoshindwa kufanya kazi za ziada wakiwa vyuo vikuu na kupata hela zinazoweza kuwafanya wakapanga nje ya vyuo ambao wanaweza kupata
malazi yenye mazingira bora zaidi ya haya?
4. Ni wa mazingira kama haya wanafunzi wanapata usingizi wa kutosha ili waweze kuweka vichwa vyao katika hali nzuri ya kuhudhuria na kuelewa lecture za siku inayofuata?
5. Natanzania wanafahamu kuwa wanachuo kikuu wanalala katika mazingira kama haya yenye joto kali kama hili la jiji la dar es salaam bila hata feni wakitokwa jasho mwili mzima usiku kucha?
6. Viongozi wa serikali wanayafahamu mahasibu haya?
7. Wanafunzi wa chuo kikuu na uongozi wa chuo kikuu cha UDSM wameridhika na mazingira haya ya malazi?
My take:
Ni aibu kwa kwa serikali, chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) na wasomi wote waliopo na waliowahi kupitia chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM

1 comment:
Serikali na uongozi wa chuo ndio wajibu wao, kazi watatoa wapi? Waliomaliza chuo wanatafuta kazi, viongozi wanafikiria matumbo yao tu sad story.
Post a Comment