Keki
Mwigizaji Elizabeth Michael (Lulu) ambae kwa sasa yuko nje kwa dhamana kutokana na kesi inayomkabili ya kuua bila kukusudia, amefanya party kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa April 17 ambapo aliandika hivi kuhusu umri wake kwenye hii picha yake yake iliyopo Instagram.Which means, “No more questions…no more answers..no more lies…no more drama,” ameandika kwenye moja ya picha alizopost kwenye akaunti yake ya Instagram.
Msosi wa nguvu pale kati
Keki ya mtoto aliyezaliwa jana
Jana muigizaji huyo ametimiza umri wa miaka 18 na kualika watu wa karibu kufurahi naye pamoja kwenye sherehe hiyo iliyofanyika takriban miezi mitatu atoke mahabusu kwa dhamana kutokana na kesi ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzie aliyekuwa mpenzi wake, Steven Kanumba.
Lulu akiwa na rafiki wa karibu
Rafiki
Miongoni mwa waalikwa kwenye party hiyo alikuwa ni hitmaker wa Singe Boy, Ali Kiba.
Lulu na Ali Kiba
the Bday girl
“Thank u ma pipo….!!!I won’t stop saying dic word….!!!Thank you soooo much,” aliandika kwenye picha nyingine.
Ali KIba akiwa na mama yake Lulu
Lulu akiwa na Dr Cheni ambaye anamchukulia kama baba yake
Waalikwa
Happy birthday Lulu.
4 comments:
what happened to her face?
Be very Careful Lulu. These Kind of Agressive Facial Expresion Pictures Can be Use Against you at Court. Remember you still have a Charge Pending. Prosecutors are Watching you to make their Case Easier baby Girl.
usimsahau marehemu kanumba ndo aliyokufikisha hapo ulipo na kutanua
na kuwa huru hivi sasa
haya mama miaka 18 mara mbili ...tunaloooo...
Post a Comment