
Selestinah akiwa na furaha baada ya kupokea cheti chake cha Bachelor of Science in Nursing kutoka Stratford University siku ya Jumamosi Juni 15, 2013.
Selestinah akiwa na amepozoi kwa furaha furaha baada ya kulamba nondo ya BSN kutona Stratford University suku ya Jumamosi Juni 15, 2013.
Selestina akiwa na akina dada wa TANO ladies ambao walichangia kwa kiasi kikubwa sana kuwezesha bashi lake lililogfanyika Hampton Inn ya College Park, Maryland












1 comment:
Hongera dada angu, way to go! Namuona jojo anachekelea mpaka jino la mwisho
Post a Comment