Familia ya Mataji ina penda kutoa shukurani kubwa kwa wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine katika msiba wa mama yetu mpendwa.
Tuna amini kuwa UPENDO mliotuonyesha kwetu utaendelea kwa wengine kwani katika nyakati kama hizi, ni UPENDO pekee ulio nguzo kuu kwetu.
Mwenyezi Mungu awabariki katika kila jema mfanyalo.
Asanteni
Mataji family.
No comments:
Post a Comment