BASI LA DAR EXPRESS NA SIMBA MTOTO YAGONGANA MAISHA YA WATU YAPO MASHAKA MATUPU KWA AJALI HIZI
Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamepigana pasi maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu. Haijafahamika mara moja madhara ya ajali hii wala chanzo chake kwa kuwa ripota wetu hakubahatika kumpata msemaji wa polisi.
No comments:
Post a Comment