ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 8, 2014

HUYO LULU MICHAEL WA UKWELI UMRI WAKE WAUJUA

Lulu Michael Amekuwa Katika Midomo ya Watu kwa Muda mrefu hasa kutokana na mavazi anayovaa kuwa ya kutega wanaume, Tukio la Mwisho lilikuwa la hivi karibuni kwenye Fainali za TMT ambapo alivaa kivazi cha Uchokozi na kuwa gumzo mitandaoni..Sasa Hivi Juzi Staa huyo wa Bongo Movies Ameamua  kutoa hii Picha chii akiwa katika Mavazi ya Kiutu uzima

No comments: