Thursday, March 12, 2015

HII NDIYO PROJECT YA WEMA NA OMMY DIMPOZ LIVE BILA CHENGA

Baada ya Ali kiba kuachia single mpya iitwayo Cheka Chaketua hivi karibuni, sasa basi good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ameshare nasi hizi kava nne zinazokaribisha ujio wa single yake mpya iitwayo Wanjera inayotarajiwa kuachia kesho tarehe 13, 2015.
Kwenye kava hizo zinamuonesha Ommy Dimpoz yuko na msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu.
Credit:Millard Ayo:com

2 comments:

Anonymous said...

Mnaendana hasa na watoto wenu watakuwa waxuri fanyeni haraka kabla hakujaharibika

Unknown said...

Speechless