Advertisements

Saturday, May 30, 2015

LOWASSA KUTANGAZA NIA LEO ARUSHA

Wananchi wakigombea lango la kuingia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha kumsikia Edward Lowassa akitangaza nia ya kugombea urais mwaka huu.
Muonekano wa jukwaa lililoandaliwa kutumika kwenye shughuli hiyo.
Wananchi wakichukua nafasi na kuketi wakisubiri kuanza kwa mkutano huo.
Wafuasi wa Lowassa wakionekana wenye furaha na 'amshaamsha.'
Muonekano wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha ulivyong'arishwa kuelekea mkutano huo.
...wakiendelea kuingia uwanjani hapo.
Uwanja umependeza.
Amsha amsha zikiendelea.
Ulinzi nao umeimarishwa.
Huu ndio Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, mahali ambapo mchana huu, Waziri Msitaafu Edward Lowassa atatangaza nia yake ya kuwania urais wa awamu ya tano.

Muonekano wa UWANJA wa Sheikh Amri Abeid, Arusha watu wamefurika kusikia atakachosema Edward Lowassa akitangaza nia ya kuwania urais mchana wa leo.
Wasanii watakao kuwepo katika safari ya matumaini leo Kadija Kopa, Ney wa Mitego na wengine wa mkoani hapo watakuwepo ili kuonyesha mshikamano .

Maandalizi yamefanyika vizuri na ulinzi umeimarishwa hivyo ni vyema. Kutangaza nia kwa Lowassa ni neema kwa wakazi wa Jiji la Arusha kwani hoteli karibu zote za Arusha zimejaa.

1 comment:

Anonymous said...

Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo mwanasiasa aliyejiuzulu kwa kashfa anaitwa aliyejiuzulu. Jamaa anaitaka Ikulu at any cost. Hizo pesa atazilipaje?