Advertisements

Monday, June 1, 2015

BALOZI KARUME ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO

Balozi Ali Karume akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM. Nia hiyo aliitangaza katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya kati uliopo Dunga Zanzibar.
Picha na Haroub Hussein

1 comment:

Anonymous said...

HIYO PICHA HAPO NYUMA INA UHUSIANO GANI NA TANZAZO LAKO? AU NDIO BANANA REPUBLIC?