Advertisements

Thursday, July 30, 2015

Tundu Lissu: kwanini sikutokea Lowassa akijiunga CHADEMA?

4 comments:

Anonymous said...

Kaka Tundu,heshima yako.Nilikuwa nakuheshimu ila kwa hili la kutumika kuongea kutetea ujio wa EL,ni kujishusha hadhi yako kielimu na kiuongozi.Please please, You don't belong to that party.How much of the 10 Billion did u receive?kuuza utu wako.

Anonymous said...

Ndugu Tindu Lisu,ajenda ya Lowasa kuwa safi itabaki kuwa ngumu kwa wapiga kura kuielewa hasa ukizingatia kuwa Chedema siku zote ilikuwa ikimtaja hadharani kuwa kinara na miongoni mwa watu walio ifilisi nchi.Kwa mtindo huu ni vipi kesho mtakaposimama kwenye podium na kutoa tuhuma kwa mtu fulani au chama chochote tuwaamini? Je,tuhuma dhidi ya Zito zilikuwa za kweli au ni mchezo wa siasa za kuchafuana?
The only way watu wanaweza kumuelewa mheshimiwa Lowasa ni kwa kuelezea uma wa Tanzania ukweli wa tuhuma dhidi yake.Lakini kwa kusema alie na ushahidi aende mahakamani ni hoja nyepesi sana hasa ukizingatia kamati ya bunge ilitoa ushahidi huo na mheshimiwa hakuwa nalakujitetea.na nyie wote mkapiga makofi..

Anonymous said...

YAANI WEWE MZEE SLAA NA TIMU YAKO MMWPIGANA MPAKA DAKIKA YA MWISHO MNAKUBALI KUUZA HESHIMA YENU KWA HUYO BINADAMU MNAEMTUKANA KILA SIKU KWELI DUNIA TAMBALA BOVU , HILO NI KOSA KUBWA SANA AMBALO MTAJILAUMU MPAKA MNAINGIA KABURINI. HAMUWEZI KUSHINDA , MMEPOTEZA MUELEKEO WANA CHADEMA WENGI WATAWAONENI KAMA THE MOST STUPID PEOPLE IN THIS PLANET.

HUYO LOWASSA HAJUI CHOCHOTE KUHUSU CHADEMA, WALA HATA KANUNI ZETU HAZIJUI HAWEZI AKAZISOMA KWA MWEZI MMOJA NA KUELEWA YEYE SIO MTUME WA KIPAJI HICHO . WATANZANIA WOTE SASA TUNAKUONENI KAMA NYIE NI WATU WA TAMAA TU, NA KUPENDA HELA SIJUI NI BILLION NGAPI MMECHUKUA ILI KUMUACHA HUYO MTU AKUINGILIENI MCHANA KWEUPE. IS SHAME ON YOU ALL WAZEE WA CHADEMA. SINA IMANI TENA NA NYIE

Anonymous said...

hahhhahhahhah,huyu mzee mzima kweli!!! hivi anafikiri watanzania wajinga kama kamati kuu yao ya chadema. mnasema mna demokrasia, ipi hiyo kama kweli mna demokrasia mbona hakuna mgombea mwingine wa kuchukua fomu ashindanishwe na lowasa huko chadema. wote nyinyi matumbo yenu yanawaua na mmewasaliti wanachadema na watanzania. shame on you. na nyie pia inabidi muwekwe katika list ya mafisadi(list of shame).huna hata aibu kuongea ujinga kama huo, it does not matter how you spin!!! you and your fellows are done