Msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni ukiwasili katika kata ya Katolo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Busanda mkoani Geita.

Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita leo. (Picha na Francis Dande)
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwapungia mkono wananchi waliofurika katika mkutano wa kampeni wa uliofanyika katika kata ya Katolo jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwapungia mkono wananchi waliofurika katika mkutano wa kampeni wa uliofanyika katika kata ya Katolo jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni
akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.

umati wa watu.
2 comments:
Asante mgombea. kazi bado ipomkuelekea mwishoni. Si mnaona wale wanaofanya copy paste nao wanaumana. Basi mkakati mkubwa ufanyike mikoa na vitongoji vyote kwa makada wote wiki ya mwisho.kuelekea uchaguzi ,
Hebu wa Ukawa naye ajaribu ngazi hizo kwa kujog na sio kunyata!
Post a Comment