Kama watanzania wazalendo tulifurahia sana ufiko wa kilele cha mchezo wa kikapu wa mbongo mwenzetu huyu.
Ni mafanikio makubwa naweza kuyaita kwa upande wa burudani na michezo kwa hatua aliyofikia Hasheem!
Ni masikitiko yangu kwamba simuoni kwenye maHeadline ya michezo na burudani kwa ujumla!
Yu wapi huyu supastaa na afanya nini sasa aliko!?
Kwa wenye data zake wakuu, mimi nashabikia sana wabongo watuwakilishao vyema Internatianale!!
11 comments:
Yupo d- league anachezea Detroit team,Hawezi NBA kiwango chake kidogo.kama hajaweka millions zake za mwanzoni basi fainali.
Kwani huyu ni super star wapi? kuanzia lini?
Mdau, ninaye rafiki ambaye anayajua sana mambo ya NBA hapa Marekani. Niliambiwa kuwa huyu kaka alisukumwa kwenda kuchezea NBA daraja la pili au D-league kwa msimu uliopita. Naona hakufanya vizuri huko alikopelekwa na yaelekea hata D-league ameng'olewa. Labda kwa sasa yupo busy kulea familia yake, lakini nina imani atapata fursa nyingine ya kucheza angalau hata kwenye ligi za ulaya au Uchina, kama atajituma kwa bidii (work ethics) kama wachezaji wengine.
Alileta ubishoo, ubraza mwingi wakati bado alikuwa hajafanikiwa
Du! D - Laegue? Ana okay kuringa mwenyewe! Siku moja nimemkuta pale airport. Basi nikajitia kwenda kumsalimia Mtanzania mwenzagu: alivonikaushia mimi mwenewe nilikimbia. "Niko busy, naongea na simu"! Kachukua simu yake na kuanza kupiga wongo! Binadamu!
Tafuteni kwanza $&$ mengine ziada. Ya Ngoswe mwachie Ngoswe. MYOB.
Majungu haya. "Shame on you", Vijaimambo.
His done
Bomu ilo
Jipu hili
why shame on vijimambo and not on the subject matter?
Post a Comment