Wednesday, June 8, 2016

AMPLIFAYA Juni 8, 2016........Muhammad Ali (pt 1)

Photo Credits: Scoopnest.com
Muhammad Ali, bondia aliyekuja kuwa maarufu katika mambo mbalimbali yakiwemo uanaharakati na hata upatanishi alifariki usiku wa kuamkia Jumamosi huko Scottsdalle Arizona akiwa na umri miaka 74.
Asilimia kubwa ya watu wanamfahamu kama bondia, lakini yapo mengi mema aliyotenda, ambayo katika kumkumbuka, ni vema tukayagusa.
Mubelwa Bandio anatudodosea machache katika mfululizo wa sehemu mbili kumhusu nyota huyu katika ripoti yake ya Juni 8, 2016

No comments: