ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 18, 2016

Ufafanuzi wa kwa nini aliyemtukana Rais Magufuli kachangiwa pesa za faini

3 comments:

Anonymous said...

kwahiyo watu waendelee kutukana tu mitandaoni halafu wachangiwe pesa?Angekuwa mtu ni mgonjwa ana shida ya milioni 2 asafiri kuja Muhimbili na kutibiwa, sidhani km angechangiwa hiyo hela.

Somo zuri sana.

Anonymous said...

Magufuli umesema kazi tuu sasa basi tupige kazi hawa wajinga wafungwe hatuna mda

Anonymous said...

Hii inatokea Tanzania tu,mtuhumiwa wa matusi anazawadiwa!Amakweli tunasafari ndefu..