Monday, October 7, 2024

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHUHUDIA MAZOEZI YA TAIFA STARS

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mazoezi ya timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (TAIFAR STARS) kwenye uwanja wa TRA , Mivinjeni jijini Dar es salaam, Oktoba 7, 2024. Taifa Stars inatarajiwa kucheza michezo Miwili dhidi ya Congo DRC kwa ajilli ya kufuzu michuano ya AFCON 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (TAIFA STARS) wakifanya mazoezi mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa TRA, Mivinjeni jijini Dar es salaam, Oktoba 7, 2024. Taifa Stars inatarajiwa kucheza michezo Miwili dhidi ya Congo DRC kwa ajilli ya kufuzu michuano ya AFCON 2025. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (TAIFAR STARS) kwenye uwanja wa mazoezi wa TRA , Mivinjeni jijini Dar es salaam, Oktoba 7, 2024. Taifa Stars inatarajiwa kucheza michezo Miwili dhidi ya Congo DRC kwa ajilli ya kufuzu michuano ya AFCON 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: