Friday, January 2, 2015

PROF J AFUNIKA TAMASHA LA “VODACOM MAISHA NI MURUA COCO BEACH

Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua”lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka2015 jijini Dar es Salaam jana.Gwiji la Muziki wa Kizazi Kipya, Profesa J. akiwapagawisha mashabiki waliofika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kushuhudia Tamasha la Wazila”Vodacom Maisha ni Murua”lililofanyika jijini Dar es Salaam mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015 jana.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Roma Mkatoliki, akipanda jukwaani kuwaburudisha mashabiki wake waliofurika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kwenyeTamasha la Wazi la “Vodacom Maisha ni Murua”lililofanyika jijini Dar esSalaam, Mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015 jana.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Roma Mkatoliki, akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kwenye Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua”lililofanyika jijini Dar esSalaam, Mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015 jana.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wamefurika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kwenye Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua”lililofanyika jijini humo mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuakaribisha Mwaka 2015 jana.

WanamuzikinguliwamuzikiwakizazikipyawakiongozwanaProfesa J wamepagawisha mamiayawapenziwamuzikihuokatikatamasha lawazi la

kukaribishamwakampyala”Vodacommaishanimurua”lililofanyikakatikaufukwewa Coco beach jijini Dar esSalaam.MbalinaProfesaJ,wanamuzikiTemba,Mkatolikinaowalikonganyonyozawashabiki.
Mwanamuzikiwa kwanza

kupandajukwaaniambayealipagawishawapenziwamuzikikisawasawaniProfesaJ,ambayealiangushavibaovyakevikalivinavyoendeleakutambakatikasoko la muzikindaninaNjeyanchibaadhiyavibaovyakevikalivilivyowapagawishamashabiki wake niZali la mentaliwimbohuoaliemshirikisha Sir Nature,Kamiligado,ndiyomzeenakumalizianakibao cha hapovipiambachokilipelekeamashabiki wake

kulipukanakuomuombaasishukejukwaaniaendeleekutoaburudani.
AliposhukajukwaanimwanamuzikiMheshimiwaTemba&Chegewalipandanakundi lake ambapowalikamuakisawasawanakumwagaburudaniiliyowafanyawapenziwamuzikikuchezakwafurahanakutamaniasishukejukwaani.
Aliyefungapazia la kutoaburudaniMtotowakitangaRoma Mkatolikinayealipagawishawapenzivilivyokwavibaovyakembalimbalivikiwemovipyanavyazamani.

Hadimwishowatamashawapenziwengiwalikuwabadowanatamanilisiishenabaadhiyaowalipohojiwawaliishukuru Vodacom Tanzania kwakuwaandaliawatejawaotamashahilo la burudanikemkem,AlisemaRamadhaniMalengemkaziwaKawejijini Dar es Salaam.

MenejaUhusianowaUmmawa Vodacom Tanzania MatinaNkurlualisemakuwa Vodacom imeamuakuwaandaliawateja wake nawakaziwajiji la Dar es Salaam tamashahilo kwaajiliyakuwapatiafurahanaburudaniwateja wake na wananchikwaujumlakatikasikukuuya mwakampya, vilevilewananchiwalipatafursayakujinunuliabidhaambalimbaliza Mawasilianokwagharamanafuu.

“Kama ilivyokaulimbiuyetukuwa “Ukiwana Vodacom maishanimurua”tunahakikishambalinakutoahuduma bora kwawatejawetupiatunajuakuwakunamudawanahitajikufurahikwaburudani hivyondiomaanatunaandaanakudhaminimatamashaya 

ainahiinatutaendeleakufanyahivyosikuzoteikiwanimojayanjiayakusemaahsantekwawatejawetukwakutuungamkono”Alisema.
Alisemamwakahuuburudanikupitiamatamashahayaimekuwajijini Dar es salaam wakatimikakatiinafanyikakuhakikishaburudanihiiinasambazwakwawatejawotenchinzima “Tunawajalinakuwasikilizawatejawetuambaokwetuniwafalmehivyotutahakikishahuduma bora naburudanikatikakipindimaalumkamahikiinawafikiakatikasikuzausoni”.AlisemaNkurlu.

No comments: