Thursday, February 22, 2024

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEMUAPISHA MHE.SHARIFF ALI SHARIFF KUWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS KAZI,UCHUMI NA UWEKEZAJI ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Mhe. Shariff Ali Shariff baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Mhe. Shariff Ali Shariff, baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said

No comments: