Wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakitafakari wakati madaktari wakiwa bado kwenye mgomo katika viwanja vya hospitali hiyo Dar es Salaam jana. Wauguzi hao wamedai wanashindwa kutimiza majukumu yao kutokana na madaktari kutokuwepo kazini. (Picha na Robert Okanda) PAMOJA na Serikali kuongeza madaktari 95 katika Hospitali ya Taifa Muhimbilli (MNH) hali bado si shwari kwa kuwa wagonjwa wameendelea kuikimbia kwa hofu ya kutopewa matibabu. |
Tuesday, January 31, 2012
Madaktari JWTZ watinga Muhimbili
HAFLA FUPI YA BIRTHDAY YA MH. BALOZI MWANAIDI MAAJAR
Hafla futi ya chakula cha mchana aliyotayarishiwa Mh. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar na maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyokua January 12, 2012.
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Mh. Mwanaidi Maajar (watatu toka kushoto) akiwa pamoja na maafisa na wafanyakazi kwenye Hafla fupi ya chakula cha mchana katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia kwenye ofisi za Ubalozi wetu, Washington, DC.
Kutoka kushoto ni Mh. Naibu Balozi Mama Lily Munanka, Afisa Ubalozi, Dr Switebert Mkama, Mh. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar, Mariam Mkama na Afisa Ubalozi, Abbas missana wakijipakulia chakula katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Mh. Balozi Maajar ambayo ilikua rasmi January 12, 2012.
Mariam Mkama (kushoto) akiwa na Afisa Ubalozi, Abbas Missana wakipata vinywaji.
Nicki Minaj, David Guetta Release 'Turn Me On' Video -- Watch-The Boombox
Jeff Kravitz/AMA2011, FilmMagic
Hot on the heels of the pair of teasers they recently leaked, Nicki Minaj and David Guetta have released a visual for their chart-topping dance single 'Turn Me On.'Taking cues from 'Frankenstein,' the Sanji-directed video features a mechanized Minaj in a black top hat and pink locks, looking half Elvira, half Elizabethan, trailing an axe and escaping on horseback, whilst being antagonized by nude mannequins.
Her re-animator Guetta, however, appears to suffer a different fate, as he is surrounded by plastic women, enveloped in some kind of chainmail, and never seen again.
'Turn Me On' appears on Guetta's fifth studio album, 'Nothing But the Beat,' which was released last year. Nicki's sophomore LP, 'Pink Friday: Roman Reloaded,' isscheduled to hit shelves April 3.
Watch Nicki Minaj and David Guetta's 'Turn Me On'
ZIMEBAKI SIKU 4 TU MZEE YUSUF KULAMBISHA BATA FEB 4, 2012 DMV
ALAMBA, ALAMBA HAAM..
TICKET ZA $20 ZIMEBAKI CHACHE WAHI MAPEMA EPUKA USUMBUFU
KWA TICKETS ZA DMV WASILIANA NA
DJ LUKE JOE- 301 661 6696
MARCO MBULLU-571 426 7124
SEIF MOHAMED- 301 537 3877
SALEH MOHAMMED-202 290 5227
LATIFA MZESE-240 603 7353
ABOU SHATRY-301 728 3977
MOZA-240 432 8216
KENTE-240 938 2452
DJ SEIF KADRIA-202 286 6595
ABOU SHATRY-301 728 3977
MOZA-240 432 8216
KENTE-240 938 2452
DJ SEIF KADRIA-202 286 6595
LEO JAN 31, 2012 NI MIAKA 2 TANGU VIJIMAMBO ILIPOANZISHWA NA IMEISHAFIKISHA WASOMAJI ZAIDI YA MILIONI MOJA
hii ndio post iliyokuwa ya kwanza kwenye Vijimambo
January 31, 2010 saa 12:33 (6:33pm)
Stars United,Uganda na Zambia kuchuana Boston,April 23
Stars United
Zambia
Uganda
Keki ya First Anniversary ya Vijimambo ilyotolewa na Loveness Mamuya.
Mpwa akilishwa keki ya Anniversary ya kwanza ya Vijimambo na Mercy Ligate siku ya January 31, 2011, Millenium Club, iliyopo Hyattsville, Maryland.
Vijimambo Sister, Latifa akijumuika pamoja kwenye Hafla fupi ya Vijimambo kutimiza mwaka mmoja.
Kutoka kushoto ni Dullah B Zay, Ismah, Mpwa, Taji na Khalfan Lyimo wakijumuika pamoja na Mpwa kwenye Hafla ndogo ya kusherehekea mwaka mmoja wa Vijimambo, sherehe zilifanyikia Club ya Millenium iliyopo Hyattsville, Maryland January 31, 2011.
Poromota Phanuel Ligate akilishwa keki na mama mwenye nyumba wake, Mercy Ligate.
Wadau wa Vijimambo wakiendelea kujihudumia na keki ya mwaka mmoja wa Vijimambo
Kocha akiwa mmoja wa waliojumuika kwenye Halfa fupi ya Vijimambo iliyofanyikia Millenium Club, January 31, 2011.
Wadau wa Vijimambo wakipata suna na keki ya Vijimambo.
Wadau wa Vijithings, Roger, Sunday Shomari, DMK na Mdau ambae ambae jina halikupatikana wakijumuika pamoja
Wadau wa Vijimambo wakiwa kwenye Anniversary ya Mwaka mmoja.
Wadau wakipata picha ya pamoja
Keki ya First Anniversary ya Vijimambo ilyotolewa na Loveness Mamuya.
Mpwa akilishwa keki ya Anniversary ya kwanza ya Vijimambo na Mercy Ligate siku ya January 31, 2011, Millenium Club, iliyopo Hyattsville, Maryland.
Vijimambo Sister, Latifa akijumuika pamoja kwenye Hafla fupi ya Vijimambo kutimiza mwaka mmoja.
Kutoka kushoto ni Dullah B Zay, Ismah, Mpwa, Taji na Khalfan Lyimo wakijumuika pamoja na Mpwa kwenye Hafla ndogo ya kusherehekea mwaka mmoja wa Vijimambo, sherehe zilifanyikia Club ya Millenium iliyopo Hyattsville, Maryland January 31, 2011.
Poromota Phanuel Ligate akilishwa keki na mama mwenye nyumba wake, Mercy Ligate.
Wadau wa Vijimambo wakiendelea kujihudumia na keki ya mwaka mmoja wa Vijimambo
Kocha akiwa mmoja wa waliojumuika kwenye Halfa fupi ya Vijimambo iliyofanyikia Millenium Club, January 31, 2011.
Wadau wa Vijimambo wakipata suna na keki ya Vijimambo.
Wadau wa Vijithings, Roger, Sunday Shomari, DMK na Mdau ambae ambae jina halikupatikana wakijumuika pamoja
Wadau wa Vijimambo wakiwa kwenye Anniversary ya Mwaka mmoja.
Wadau wakipata picha ya pamoja
Wadau wa Vijimambo wakipata picha ya pamoja.
Sherehe za miaka miwili ya VIJIMAMBO zitafanyika March 31, 2012 Mirage Hall
Nahodha: Sitta lete ushahidi wa Mwakyembe
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha amemtaka Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta kuwasilisha ushahidi wa madai aliyoyatoa juzi kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe alilishwa sumu.
Juzi akiwa na kundi la makada wenzake wa CCM wanaojipambanua kuwa wapambanaji wa ufisadi, katika uzinduzi wa Programu ya Neno la Hekima kutoka kwa Kiongozi iliyoanzishwa na Kanisa la Ufufuo na Uzima, Sitta alirejea kauli yake ya awali kuwa Dk Mwakyembe ambaye pia Mbunge wa Kyela, alilishwa sumu
LADY IN RED 2012 - ASIA IDAROUS KHAMSIN
mama wa mitindo ASIA IDAROUS KHAMSIN ambae ametimiza maonesho ya mavazi 100 kwa tanzania tu mbali ya nchi za nje , yeye na team yake watazindua kituo maalum cha kusaidia waathirika wa dawa za kulevya kiitwacho KIKALE YOUTH CARE GROUP kinachotayarishwa huko maeneo ya kikale walaya ya rufiji.
siku ya tarehe 10 feb katika onyesho la mavazi lenye hadhi duniani liitwalo LADY IN RED 2012 ambalo hufanyika kila mwaka , hili ni onyesho la saba mfululizo tokea limeanza .
ASIA hufanya kazi zake tanzania na marekani za ubunifu wa mitindo onyesho la lady in red kwa mwaka huu litafanyika tanzania na marekani , karibuni wote kiingilio ni 50,000 kwa vip na 20,000 kawaida kutakua na live band na after party itafanyika nyumbani lounge.
Mbunge CCM atishiwa kufukuzwa uanachama
Mbunge wa Nzega (CCM), Dkt. Hamisi Kigwangalla |
Mwandishi wetu, Dodoma
BAADHI ya wabunge wa CCM wamependekeza kuvuliwa uanachama Mbunge wa Nzega, Dk Khamis Kigwangwala (CCM), kutokana na msimamo wake kuunga mkono mgomo wa madaktari hadharani.
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya kikao cha wabunge wa CCM kilichofanyika juzi jioni, zinadai wabunge hao walipendekeza mbunge huyo kuchukuliwa hatua kali, hasa kutokana na misimamo yake, ikiwamo kuunga mkono mgomo huo na kupinga nyongeza ya posho za wabunge.
Mbunge huyo amekuwa akipinga hadharani nyongeza ya posho za wabunge kutoka Sh70,000 hadi Sh200,000 kwa kikao, akidai kuwa haiendani na hali ya maisha ya raia wa kawaida.
JK abariki posho mpya za wabunge
Waandishi Wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema tayari Rais Jakaya Kikwete amesaini kuidhinisha ongezeko la posho za vikao (sitting allowance) kwa wabunge kutoka Sh70,000 hadi Sh200,000 kwa siku. Kupitishwa kwa posho hizo ambazo ziliandikwa kwa mara ya kwanza na gazeti hili, kunafanya sasa mbunge kupokea Sh330,000 kwa siku; Sh200,000 zikiwa ni posho ya kikao, Sh80,000 posho ya kujikimu na Sh50,000 nauli.
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya kikao cha utanguzi cha wabunge jana, zilidai kuwa baada ya Pinda kutoa taarifa hiyo, wabunge walishangilia huku Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, akisimama na kudai kuwa taarifa alizonazo ni kwamba Rais Kikwete alikuwa hajasaini kuidhinisha posho hizo.
Mkwasa aihofia Ethiopia
Kocha wa timu ya taifa ya soka ya wanawake (Twiga Stars), Charles Boniface Mkwasa |
Kocha wa timu ya taifa ya soka ya wanawake (Twiga Stars), Charles Boniface Mkwasa, amesema kuwa watalazimika kufanya maandalizi makali zaidi kabla ya kuwavaa Ethiopia katika mechi ijayo ya kuwania kufuzu fainali za wanawake za Kombe la Mataifa ya Afrika kwani ushindi wao wa mabao 6-4 dhidi ya Misri unaonyesha kuwa sasa wameimarika kuliko ilivyokuwa hapo kabla.
Akizungumza na NIPASHE jana, Mkwasa alisema kuwa hofu waliyo nayo, na ambayo itamlazimu yeye na kikosi chake kufanya maandalizi makali zaidi kabla ya kucheza raundi inayofuta, ni matokeo ya kusisimua ya ushindi wa mabao 4-0 walioupata Ethiopia katika mechi yao ya marudiano dhidi ya Misri juzi jijini Addis Ababa, ikiwa ni wiki mbili tu baada ya timu hiyo ya ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kulala ugenini Misri kwa mabao 4-2 na kuonekana awali kuwa ni kama wameshatolewa.
Zec yatupa pingamizi la CUF, Chadema dhidi ya Raza
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetupiliambali pingamizi lililokuwa limefunguliwa na mgombea wa CUF dhidi ya mgombea wa (CCM), Mohammed Raza, katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Uzini mkoa wa Kusini Unguja.
Uchaguzi huo mdogo unatarajia kufanyika Febuari 12, mwaka huu kufuatia kifo cha aliyekuwa mwakilishi wa jimbo hilo khamis Mussa Silima aliyefariki kwa ajali ya gari oktoba mwaka jana huko mkoani Dodoma.
Akizungumza na NIPASHE msimamizi wa uchaguzi huo, Mussa Ali alisema baada ya ZEC kukutana na kujadili rufaa ya mgombea wa CUF, wamekubaliana na maamuzi ya awali yaliyokuwa yametolewa na ZEC Wilaya kuwa pingamizi lililokuwa limefunguliwa limekosa mashiko ya kisheria.
“Tayari nimepokea maamuzi ya ZEC kuwa Raza ni mgombea halali katika uchaguzi mdogo wa uzini,” alisema.
Muhimbili ni maafa
Maiti sasa zajazana wodini
Madaktari waendelea kugoma
Wauguzi nao waanza mgomo
Siku moja tu baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuwataka madaktari kusitisha mgomo na kurejea kazini vinginevyo watajifukuzishwa kazi, hali imezidi kuwa mbaya katika hospitali ya Taifa Muhimbili na jana viliripotiwa vifo 10.
Madaktari waendelea kugoma
Wauguzi nao waanza mgomo
Siku moja tu baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuwataka madaktari kusitisha mgomo na kurejea kazini vinginevyo watajifukuzishwa kazi, hali imezidi kuwa mbaya katika hospitali ya Taifa Muhimbili na jana viliripotiwa vifo 10.
Mbali na hali ya vifo hivyo, madaktari wachache tu ndio walioripoti kazini jana, huku wengi wao wakiendelea na mgomo na
Makosa makubwa ambayo wengi huyafanya katika uhusiano, yajue ubadilike -3
KATIKA sehemu ya pili wiki iliyopita, nilieleza kuwa ni kawaida kwa watu wengi kufanya mambo kadha wa kadha kwa lengo la kuteka hisia za mtu anayemtaka. Lengo lao ni kurusha roho tu ili kumfanya mhusika avutwe naye. Hujaona mtu anaazima gari kwa lengo la kutongozea? Watu wa aina hiyo wapo na wanaendelea kuwepo.
Usimshangae huyo, mwingine huazima hata
Usimshangae huyo, mwingine huazima hata
JK HANDS OVER ALMA CHAIR TO PRESIDENT ELLEN JOHNSON SIRLEAF OF LIBERIA
New ALMA Chair President Ellen Johnson Sirleaf confers to out-going chair President Jakaya Mrisho Kikwete an award of Excellence from the UN Secretary General and the African Union Chairman for sound policies and effort to combating malaria.
President Jakaya Kikwete makes his opening speech and give the status of Malaria. Others from left is the new AU Chairman President of Benin, the Executive Secretary of ALMA, Ms Joy Phumaphi , new ALMA Chair and President of Liberia Madame Ellen Johnson Sirleaf, and newly elected ALMA Vice Chair and President of Mozambique, Mr Armando Guebuza.
A cross section of African Leaders Malaria Alliance (ALMA) leaders at the working session luncheon at the Africa Union Summit during which out-going Chairman President Jakaya Mrisho Kikwete handed over the ALMA chair to President Ellen Johnson Sirleaf in the side-lines of the AU Summit in Addis Ababa, Ethiopia. ALMA is an alliance of African Heads of State and Government working to end malaria-related deaths. This body was founded by African Heads of State to utilize their individual and collective power across country and regional borders.
President Jakaya Kikwete makes his opening speech and give the status of Malaria. Others from left is the new AU Chairman President of Benin, the Executive Secretary of ALMA, Ms Joy Phumaphi , new ALMA Chair and President of Liberia Madame Ellen Johnson Sirleaf, and newly elected ALMA Vice Chair and President of Mozambique, Mr Armando Guebuza.
A cross section of African Leaders Malaria Alliance (ALMA) leaders at the working session luncheon at the Africa Union Summit during which out-going Chairman President Jakaya Mrisho Kikwete handed over the ALMA chair to President Ellen Johnson Sirleaf in the side-lines of the AU Summit in Addis Ababa, Ethiopia. ALMA is an alliance of African Heads of State and Government working to end malaria-related deaths. This body was founded by African Heads of State to utilize their individual and collective power across country and regional borders.
PHOTOS: STATE HOUSE
Monday, January 30, 2012
HALI BADO SI SHWARI HOSPITALI YA RUFAA MBEYA NI MADAKTARI WATANO TU WAFIKA KAZINI KATI YA 75
Hospitali ya rufaa mbeya |
Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa Mbeya Dokta Eliuta Sanker amesema mpaka sasa ni madaktari watano 5 tu walioripoti kazini hapo kati ya madaktari 75 waliogoma |
Baadhi ya wagonjwa wakiendelea kuandikiwa vyeti vya kuwaona madaktari |
Baadhi ya madaktari wakisoma matangazo ya kutaka warejee kazini |
Madaktari wakiwa wanatoka katika hospitali ya rufaa mbeya baada ya kusaini kitabu cha mahudhurio yakuwa wamefika kazini lakini huduma hawatoi |
Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog
WADHAMINI SHEREHE YA VIJIMAMBO KUTIMIZA MIAKA 2,MARCH 31,2012
Blog yako ya VIJIMAMBO inapenda kuwaataarifu wote wanaopenda kuidhamini kwenye sherehe ya kutimiza miaka 2 itakazofanyika Jumamosi ya March 31,2012 MIRAGE HALL.
1401 University Blvd,
Hyattsville,MD 20783
Wadhamini wote watakaochangia watapata nafasi za kutangaza biashara au kazi zao siku ya sherehe.
Wadhamini wote Ndani na Nje ya Marekani wanakaribishwa.
VIWANGO VYA UDHAMINI
$200- Kupata meza kutangaza Biashara au kazi yako.
$300-Kupata Meza kutangaza Biashara au kazi yako na kutangaza bure kwenye VIJIMAMBO kwa mwaka mmoja.
$400 na kuendelea-kupata meza,kutangaza kwenye VIJIMAMBO bure mwaka mmoja na kuapta nafasi ya kuelezea Biashara au kazi yako siku ya sherehe.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na VIJIMAMBO 301 661 6696 au Barua pepe djlukejoe@gmail.com
WOTE MNAKARIBISHWA
--------------------------------------------------------------------------
Logo
Wadhamini ambao tayari wamejitokeza na ambao hawajatuma Logo zao naomba mnitumie haraka iwezekanavyo ilituweke kwenye flyer
Viongozi wa Jumuiya
Pia Vijimambo inaomba Viongozi wa Jumuiya za Watanzania watume Email add zao kwenye barua pepe djlukejoe@gmail.com kwa ajili ya kuwatumia barua ya mwaliko, Blog yako inathamini mchango mkubwa mnaofanya kwenye Jumuiya zenu ndio maana inapendelea kuwepo kwenu kwenye sherehe za miaka 2 ya Vijimambo.
The Best & Worst Dressed at the 2012 Screen Actors Guild Awards
Check out the the daring, the adorable and the disappointing fashions from the SAG red carpet.
TUFIKIE HATUA TUTOE SUPPORT KWA VYA KWETU
Na Matungwa Jackson
Mimi sioni ni kwa nini wanaojiita wadau wanashindwa kusuport vipaji Vya wanamuziki wetu wa bongo badala yake wanasupport nyimbo ambazo hazina hata maana na ndio zina heat pamoja zinakuwa zimejaa matusi matupu. wadau sikilizeni ngoma hii alafu mniambie ni kwa nini na sisi hatupewi nafasi ya kuwa juu kama kama wakali wachache wengine Ngoma hii inaitwa simbisimbisi na lugha zilizotumika ni kihaya,kijita na kisukuma producer ni villy muziki huu unaitwa kandamoja Root ni muziki mpya kabisa. support kandamoja root suport jahson na susu |
Jahson & Susu ft Mark Senzo &Delilah-Simbisimbisi.wma 3945K Download |
KAA CHONJO SAA MBAYA ZIMEBAKI SIKU 5 TU MZEE YUSUF KULAMBISHA BATA FEB 4, 2012 DMV
ALAMBA, ALAMBA HAAM..
TICKET ZA $20 ZIMEBAKI CHACHE WAHI MAPEMA EPUKA USUMBUFU
KWA TICKETS ZA DMV WASILIANA NA
DJ LUKE JOE- 301 661 6696
MARCO MBULLU-571 426 7124
SEIF MOHAMED- 301 537 3877
SALEH MOHAMMED-202 290 5227
LATIFA MZESE-240 603 7353
ABOU SHATRY-301 728 3977
MOZA-240 432 8216
KENTE-240 938 2452
DJ SEIF KADRIA-202 286 6595
ABOU SHATRY-301 728 3977
MOZA-240 432 8216
KENTE-240 938 2452
DJ SEIF KADRIA-202 286 6595
Subscribe to:
Posts (Atom)