Monday, January 31, 2011

Chelsea finalizes Torres signing


Fernando Torres was sold from Liverpool to Chelsea on Monday for a British record transfer fee, said to be 50 million pounds ($79.5 million).
Monday's deal is soccer's third-most expensive transfer, exceeded by Real Madrid's 2009 purchases of Cristiano Ronaldo from Manchester United for 80 million pounds ($131 million) and Kaka from AC Milan for 65 million euros ($92 million). It will be a similar figure to that received byInter Milan when the Italian side team sold Zlatan Ibrahimovic to Barcelona the same year, a deal that sent Samuel Eto'o to Inter.

Look of the Day

Bibie Hwaritha

Bado una ‘bifu’ na mpenzi wako wa zamani? Unapoteza muda

Mungu ametuumba tofauti, hivyo hulka yako hawezi kuwa nayo mwenzako. Ni vizuri kujielewa na kuwatambua wengine. Mada hii ina suluhisho la msingi.

Watu wanaingia kwenye mapenzi na baadaye wanatengana. Wapo wanaobaki na amani, lakini wengine wanaendelea kuishi katikati ya chuki.

Meya ajiuzulu kulinda heshima

MEYA wa Manispaa ya Sumbawanga, Samweli Kisabwiti kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo kwa madai ya kulinda heshima yake binafsi na ya chama chake. 

Akizungumza nyumbani kwake jana mjini hapa, Kisabwiti alisema amefikia uamuzi huo baada ya kutambua kwamba meya ni mtu muhimu sana katika kufanya kazi kwa ufanisi na anahitaji muda wa kutosha ili ajifunze. 

CUF, CCM kuandamana nchi nzima

MAANDAMANO ya amani yanaandaliwa na vyama vya siasa, ambapo Chama cha Wananchi (CUF), wamejipanga kufanya hivyo Jumatatu ijayo.

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia Umoja wa Vijana (UVCCM), kinaandaa maandamano ya nchi nzima ya vijana wa kuanzia shule za sekondari hadi vyuo vikuu.
Image
Rais Jakaya Kikwete akishiriki katika ufunguzi wa kikao cha 21 cha marais na wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia. (Picha na John Lukuwi).

Wizi mkubwa Tanesco

James Magai na Emmanuel Herman
OFISA wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), ametiwa mbaroni na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuliibia shirika hilo fedha zaidi ya Sh1.3bilioni.Tuhuma dhidi ya ofisa huyo (jina linahifadhiwa kwa sasa), zimekuja wakati ambao Tanesco wanaelezwa kuwa na hali mbaya kifedha, kutokana na madai kuathirika kimapato hali inayochangiwa na hujuma zinazofanywa na watu wasiofahamika katika miundombinu yake.

Kadhalika Tanesco hivi sasa wanakabiliwa na kibarua kigumu cha kuilipa kampuni ya kufua umeme ya Dowans fidia ya Sh94 bilioni kufuatia tuzo iliyotolewa na Mahakama ya Kimtaifa ya Usuluhishi wa Kibiashara (ICC).

Who really owns Dowans?

Dowans Holding directors granted power of attorney in favour of Mr Aziz
The directors granted power of attorney in favour of Mr Aziz 
By Joint Report  (email the author)
Posted Monday, January 31 2011 at 00:00
Powerful businessman and ruling party MP for Igunga in Tabora, Rostam Aziz, is to be a beneficiary in the Dowans Tanzania award.
According to the proceedings from the International Court of Arbitration of the International Chamber of Commerce also known as the International Commercial Court (ICC), which recently awarded Dowans Holdings S.A. and Dowans Tanzania $65 million as compensation for breach of contract by the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco), Mr Aziz was appointed Dowans’ attorney-in-fact as far back as 2005 “to manage the company’s affairs outside the Republic of Costa Rica.”

African Vacation

VIJIMAMBO 1St Anniversary @ Millenium Club

Keki ya mwaka mmoja wa VIJIMAMBO
Mpwa akilishwa keki na Mercy Ligate,keki ilikua taamu sana
Neema nae akipata keki ya VIJIMAMBO
Peter Ligate akilishwa Keki na Mama mwenye nyumba wake 
Vijimambo sister ndani ya nyumba akiwakilisha
kwa picha zaidi Bofya Read More

Sunday, January 30, 2011

Hotuba ya Mh:Balozi Mwanaidi Maajar

Hii ndio hutuba ya Mh:Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kwenye mkutano wa Watanzania DMV kwa kumsikiliza Bofya Hapa
Nawakaribisha wadau wote Millenium fika tukake keki ya mwaka mmoja wa VIJIMAMBO,bila nyinyi Vijimambo isingefikia hapa ilipo leo,shukrani zangu za dhati kwanza kwa wadau wooote wa Vijimambo,Mh.Blozi Mwanaidi Maajar,maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi,Washington,DC, Kalley Pandukizi,Jojo,Michuzi blog,Haki Ngowi,Bongo Celebrity,Lady Jay Dee Blog,Changamoto yetu,swahili villa,Sunday Shomari Blog,wafanyakazi wa Green Grocer kwa mchango wao wanaonipatia kila siku tukutanapo kazini,na wengine wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine katika kufanyikisha Blog hii ya VIJIMAMBO isonge mbele 
hii chini ndio idadi ya wadau waliotembelea blog hii tangia 2010 May-2011 January.
United States
182,659
Tanzania
15,868
United Kingdom
6,236
Canada
5,532
Netherlands
1,676
Kenya
594
Germany
583
Sweden
531
Norway
512
France
408

asanteni sana na Mwanyezi  Mungu awazidishie saba mara sabini

KUMBU KUMBU
Habari hii ndio iliyokua ya kwanza hewani siku ya January 31,2010 ilipaishwa (3:37pm) 
Nyama Choma DMV


Kikosi cha Stars united kikiwa Houston

Kutakuwa na NYAMA CHOMA na mechi ya mpira wa miguu kati ya Stars united na Maryland United siku ya jumamosi april 3rd 2010 kiwanja au park itakayofanyikia bado kutangazwa,inasemakana huenda ikafanyikia Greencastle park iliyopo Brigs chaney,Silver Spring.

Mtayarishaji wa mechi hii,Syprian Kumalo amabe ni raia wa Bondeni mwa AFrika,amesema hii mechi ni kuwazawadia wachezaji wa zamani walio wahi kuichezea timu ya Maryland United.

Wachezaji Watanzania waliowahi kuichezaea timu hii ni Vicent Ndusilo,Liberatus Mwang'ombe,Elvis Dotto Mnyamuru na Chiwa Mwombela

Na hii ni habari nyingine iliyopaishwa siku hiyo January 31,2010(6:33pm)
Stars United,Uganda na Zambia kuchuana Boston,April 23

Stars United
Zambia

Uganda

Wadau mbali mbali katika U-kodak Moment

kwa picha zaidi,Bofya Read More

Mh.Balozi na Watanzania wengine DMV wakipata chakula

Mtu ilikua nyomi kwenye mkutano wa Watanzania DMV

Paparazzi wa Blog nyingine

kutoka kushoto ni Abou(swahilivilla.blogspot.com),Sunday Shomari(sundayshomari.com) na Mubelwa Bandio(changamotoyetu.blogspot.com)

Mr.Dj

Dj Kerry Kheri akifanya mavitu vitu kwenye Bongo Flava

Look of the Day

U-kodak Moment na Mh.Balozi Mwanaidi Maajar

Mh.Balozi(shoto) akiwa kwenye picha na Prof.Julius Nyang'oro(kulia),Yusuf Nyang'oro(aliye kaa kati) na aliyesimama ni Danny Kaswamila
Mh.Balozi(wa pili toka kulia)kwa pamoja wakipata picha ya ukumbusho na Kanumba(the Great-kulia),Mzee Yusuf Kalala(kati) Aunt Sharifa Kalala na Baba mweye nyumba wake Salma.
juu na chini ni Wadau wa DMV wakipata U-kodak Moment na Mh.Balozi

Kamati ya kuandika katiba ikipata U-kodak wa kumbukumbu na Mh.Balozi Mwanaidi Maajar
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar akisema machache kwenye mkutano wake wa kwanza na Watanzania DMV huku akiwaambia milango ya Ubalozi ipo wazi karibuni sana.
Prof.Julius Nyang'oro nae alikuwepo hapa akieleza kwanini aliandika kitabu cha wasifu wa JK.
Mh.Balozi(kati) akisiliza mjadala wa kuchagua kamati  itakayounda katiba mpya ya Jumuiya ya Watanzania DMV,kutoka kulia ni Prof.Julius Nyang'oro.Alu Kalala Nyang'oro,Mh.Balozi,Dr.Mkama na Asia Dachi.

Metro Tire yaizawadia Ubalozi Tairi 4 mpyaaaaa

Mh.Balozi Mwanaidi Maajra(shoto) akipokea zawadi ya matairi kutoka mkurugenzi wa Metro Tire Kessy

Mkurugenzi wa Metro Tire,ndugu Kessy.

Mzee wa Nondooooooz

Kushoto ni Jayroce Silayo muhitimu wa Bachelor Degree,Aviation Maintenance Management,University Of District Of Colombia(UDC) hapa akiwa na Erick Mahai kwenye U-kodak Moment.
Image
Wahitimu wa Cheti Cha Usimamizi wa Kodi, wakifuatilia jambo wakati wa mahafali ya tatu ya Chuo Cha Usimamizi wa Kodi (ITA. (Picha na Fadhili Akida)

Maandamano yaendelea Misri

Maandamano dhidi ya serikali, yameendelea kwa siku ya tano mfululizo mjini Cairo.
Amri ya kutotoka nje ilitangazwa jana usiku katika miji ya Cairo, Alexandria na Suez, baada ya mapambano makali baina ya polisi na waandamanaji.
Waandamanaji
Waandamanaji mjini Cairo wanataka kiongozi Hosni Mubarak kung'atuka
Hata hivyo, maandamano yameendelea, na jeshi linashika zamu barabarani.
Waandamanaji hasa wamekuwa wakipiga kelele kuwa serikali sio halali, na pia rais Mubarak.
Ni wazi kuwa ahadi aliyotoa rais, kubadili baraza lake la mawaziri na kuleta mabadiliko, hayatoshelezi wananchi.
Wanataraji kuwa, wanaweza kumtoa kiongozi, kama ilivyotokea Tunisia.

Saturday, January 29, 2011

JAMBO AFRICA CHILD HOPE INC. LEADERS MEET AMBASSADOR MWANAIDI MAAJAR IN WASHINGTON DC


Vice-President Eric Stetson and Board of Director Donacian Kimolo meet with Ambassador Mwanaidi Sinare Maajar to share with her the mission and objectives of the organization Jambo Africa Child Hope Inc. (JACH). JACH is a non-profit organization incorporated in the District of Columbia, USA, established in February 2007. JACH works with faith-based organizations, institutions, individuals, friends of Africa and Africans in Diaspora to provide financial support for the education, training, and care of impoverished and orphaned children in Africa. Our main project at this time is to start Lake Natron Technical School, an institution that will provide free secondary education and career training for needy youths in Tanzania. For More details please visit our website www.jamboafricachildhope.org

OBAMA SPEAKS TO YOUTH THROUGH RUSSELL SIMMONS

AP I Getty Images
President Obama has taken to the road, airwaves and media to spread his optimistic message about America's future that served as the basis for his State of the Union address earlier this week. Notably, one of his core constituencies is the hip-hop generation that was so vocal in getting him elected. He reached out to those voters this week by placing an open statement on the Russell Simmons-run MySpace and Global Grind.

"I promise that every decision I make in the years ahead will be made with you in mind," Obama wrote before stating that his health care overhaul, plans to end wars and update to student loans were specifically for the younger generation. "Each of you represents our hope for this country. Your generation will be the one leading America into the future. And if we do our part, I know you'll make us proud."

Even Simmons himself was floored that Obama reached out and sent him a personal statement to distribute. He says he relates to the President's message of optimism and importance of future generations to carry America's torch into the future.

"Nothing makes me prouder than what I received late last night from a hero of mine, the president of the United States, Barack Obama, and I am overjoyed to deliver his exclusive message to young people of this great nation," wrote Simmons. "As we move forward, let us move forward together as one."

Read the full statement from President Obama here.
More About Russell Simmons on AOL Music

Black History Month - This is AWESOME

Check this out....  
Subject: Black History Month - This is AWESOME!


This is a beautiful thing (a keeper)......
This is by far the best I have EVER seen! Whoever put this together deserves an award. 

http://www.ls.cc.al.us/blackhistory/blackhistory.html

Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote

Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote

Huu wimbo utaimbwa leo kwenye mkutano wa Watanzania na Mh.Balozi DMV najua ni siku nyingi kama umesahau basi jikumbushekumbushe hapa

Mandela aruhusiwa kutoka hospitali

Bw Nelson Mandela
Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela ametolewa hospitali ambapo alikaa kwa siku mbili.

Friday, January 28, 2011

WAKATI LA DOWANS HALIJAISHA…Wadau wa pamba Tanzania kizimbani Uingereza

WADAU wa kilimo cha pamba nchini wakiwamo wamiliki wa vinu vya kuchambulia wameshitakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi ya Pamba mjini Liverpool, Uingereza, baada ya kushindwa kutekeleza mikataba waliyofunga na wanunuzi wa nje kutokana na kukosa pamba na wako hatarini kufilisiwa. 
Image
Wanafunzi wa Darasa la Kwanza katika Shule ya Msingi ya Biharamulo wilayani Biharamulo mkoani madai dhidi yao katika Mahakama Kagera, Alice Josam (kulia) na Eric Elias, wakiwagawia wenzao uji wakati wa mapumziko huku mwalimu wao, Melania Gema, akiwasimamia kwa karibu. Shule hiyo hutoa uji kwa wanafunzi wote kila siku. (Picha na Mgaya Kingoba).